Naangalia mechi ya WC qualifications Africa Kenya dhidi ya Mali kocha kamuweka beki ya kulia na anaimudu vema. Simba tangu aumie pale kati anacheza Kennedy Juma au Mkongo yule akiwa na Wawa na ngoma inakwenda.
Kulia kule anaanzaga yule Isra naona hajatulia sana kama Kapombe ambaye kasi yake imepungua sana.
Onyango alishacheza Simba hiyo nafasi na alicheza vizuri hata Wawa alishacheza pia hiyo nafasi lakini beki ya kulia tupo vizuri hamna hamna haha ya yeye kukaa huko