Kocha wa Simba anajiamini sana na ushindi wa derby

Kocha wa Simba anajiamini sana na ushindi wa derby

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Mwambieni Ongbak akipoteza derby watu watachange 😂. Tanzania itakuwa chungu hii.

Derby anasema mechi ya kawaida. watu wameweka kila goli 100 million.

Vijana wa Msimbazi wa mwambie Ongbak ukweli mapema.

GUYBijFXgAEHipu.jpeg
 
Kweli utakuwa wa kawaida kwa yanga maana pale simba hakuna timu ni kikundi cha vikoba.
 
Back
Top Bottom