Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Kila goli mil 100??? Huu ni uongo usio na faida. Na hii itafanya timu itafute magoli na kusahau kuzuia.Mwambieni Ongbak akipoteza derby watu watachange [emoji23].
Derby anasema mechi ya kawaida. watu wameweka kila goli 100 million.
Vijana wa Msimbazi wa mwambie Ongbak ukweli mapema.
View attachment 3064095
Yanga hamtaamini macho yenu, Simba tunashinda gemu tena kirahisi sana.Kweli utakuwa wa kawaida kwa yanga maana pale simba hakuna timu ni kikundi cha vikoba.
deby zote kila goli lina dau.Kila goli mil 100??? Huu ni uongo usio na faida. Na hii itafanya timu itafute magoli na kusahau kuzuia.
weka mke??Yanga hamtaamini macho yenu, Simba tunashinda gemu tena kirahisi sana.
sawa π.Ongback huwa anapiga vifuti na elbow,ukipigwa kifupi kimoja tu cha kidevu ni monchwari au ICU.
kesho utaona vijana wa Simba wanavyowapima umri wazee wa Tanu.