Japokuwa si vema kuamini au kubishia kila kitu,acha hii kwa sasa ibaki kama ilivyo, wakati ule anatuzingua kurudi mpaka Kaburu akamfuata, alikuwa kabakiza miezi 3 ktk mkataba wake so kama hakukuwa na jitihada zozote za kumuongezea mkataba,basi tuamini kuwa kulikuwa na jitihada za kumkatisha tamaa ili aamue kutokusign tena.
Lakini kwa vile source ni website ya Azam,basi yaweza kuwa ni udaku pia au nao wanatapatapa kwa vile wanakaribia kuingia ICU,tutasikia hapo baadae,japo Simba itabaki kuwa Simba with or without Phiri. Simba Sports Club --- Nguvu Moja!!!