Kocha wa Simba SC anatakiwa kuingia na mbinu ipi kuhakikisha anapata ushindi dhidi ya RS Barkane?

Kocha wa Simba SC anatakiwa kuingia na mbinu ipi kuhakikisha anapata ushindi dhidi ya RS Barkane?

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Mashabiki wa Simba SC na Wadau wa soka, upi uchambuzi wako kuelekea kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Berkane, utakaofanyika Jumapili ya March 13 kundi D kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

Unadhani Kocha Pablo Franco Martin aingie na mpango, au mbinu ipi kuhakikisha anapata ushindi kwenye mchezo huu, ambapo Simba SC walipoteza kwenye mchezo wa kwanza ugenini kwa mabao mawili kwa bila.

Kwangu..Simba SC wanatakiwa kuanza kwa kupress kwenye mstari wa juu [High Press] hii itasaidia Back Line ya RS Berkane kutokuwa Comfortable na mpira hivyo pressing ya Simba SC itanza kufanikiwa kwa haraka zaidi kutokana Kasi ya Sakho kulia na Movement nyingi za Banda kushoto, kwasababu RS Berkane kuna uwezekano wa kupress mstari wa kati [Mid Block].

Na hapo inatakiwa kiungo wa chini awe na akili ya haraka kutoa msaada pembeni, na katika sehemu ambayo Simba SC inatakiwa kuwa makini na kufanyiwa kazi sana kwenye mazoezi ni mipira ya kutengwa (Set Pieces) mabao mawili kwa RS Berkane yalipatikana kwa njia hiyo.

Utabiri wangu Kikosini;

1.Manula.
2.Kapombe.
3.Hussein.
4.Onyango.
5.Inonga.
6.Mkude.
7.Sahko.
8.Mzamir.
9.Kagere.
10.Bwalya.
11.Banda.

Akiba;

Kakolaya, Israel, Nyoni, Wawa, Lwanga, Kanoute, Bocco, Kibu, Jimmyson, Morrison.


Yapi maoni yako kuhusu mtanange huu.

..Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana..[/b]
 
Mashabiki wa Simba SC na Wadau wa soka, upi uchambuzi wako kuelekea kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Barkane, utakaofanyika Jumapili ya March 13 kundi D kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

Unadhani Kocha Pablo Franco Martin aingie na mpango, au mbinu ipi kuhakikisha anapata ushindi kwenye mchezo huu, ambapo Simba SC walipoteza kwenye mchezo wa kwanza ugenini kwa mabao mawili kwa bila.

Kwangu..Simba SC wanatakiwa kuanza kwa kupress kwenye mstari wa juu [High Press] hii itasaidia Back Line ya RS Barkane kutokuwa Comfortable na mpira hivyo pressing ya Simba SC itanza kufanikiwa kwa haraka zaidi kutokana Kasi ya Sakho kulia na Movement nyingi za Banda kushoto, kwasababu RS Barkane kuna uwezekano wa kupress mstari wa kati [Mid Block].

Na hapo inatakiwa kiungo wa chini awe na akili ya haraka kutoa msaada pembeni, na katikati sehemu ambayo Simba SC inatakiwa kufanyiwa kazi sana kwenye mazoezi ni mipira ya kutengwa kwa wapinzani, mabao mawili kwa RS Barkane yalipatikana kwa njia hiyo.

1.Manula.
2.Kapombe.
3.Hussein.
4.Onyango.
5.Inonga.
6.Mkude.
7.Sahko.
8.Mzamir.
9.Kagere.
10.Bwalya.
11.Banda.

Kakolaya, Israel, Gadiel, Nyoni, Wawa, Lwanga, Kanoute, Bocco, Mhilu, Morrison.


Yapi maoni yako kuhusu mtanange huu.
Ni sahihi ila ila huyu kocha anamahaba ya juu sana na kibu Kwaiyo kesho usitegemee kumuona banda hapo
 
Mie naona aanze morison badala ya banda
Morrison akianzia benchi anakuwa yupo vizuri zaidi, kuliko akianza hii hata Kocha Gomez alikuwa anamtumia hivyo.

Na hata ukiangalia game ya ASEC Mimosas away alileta kitu tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom