Nimesema toka aajiriwe hajaonesha uwezo. Sasa wewe naona unatunga thread yako. Muwe mnasoma na kuelewa mada za wenzenu. Acheni kukurupuka. Mimi sijataja Ruvu wala Mbao kwenye thread yangu......!Hii ni baada ya kutoka sare leo ila kabla ya mechi ilikuwa 'Simba rarua hao, mara Okwi ana magoli mengi kuliko Yanga' mara leo tuwapige ngapi hawa Mbao? Saa hizi wanyongeeee eti uwezo wa kocha mdogo. Wakati simba anashinda zile za Ruvu kocha alikuwa nani vile?
Mbona hukuanzisha thread yako kabla matokeo ya Mbao hayajajulikana?Nimesema toka aajiriwe hajaonesha uwezo. Sasa wewe naona unatunga thread yako. Muwe mnasoma na kuelewa mada za wenzenu. Acheni kukurupuka. Mimi sijataja Ruvu wala Mbao kwenye thread yangu......!
Kabla ya matokeo ya leo ningetoa thread yangu ungesema mechi ya Mwadui. Na ningesema kabla ya mechi ya Mwadui ungesema mechi ya Azam......Hivyohivyo ungenirudisha nyuma mpaka mwaka 1985.Mbona hukuanzisha thread yako kabla matokeo ya Mbao hayajajulikana?
Okwi.Hii ni baada ya kutoka sare leo ila kabla ya mechi ilikuwa 'Simba rarua hao, mara Okwi ana magoli mengi kuliko Yanga' mara leo tuwapige ngapi hawa Mbao? Saa hizi wanyongeeee eti uwezo wa kocha mdogo. Wakati simba anashinda zile za Ruvu kocha alikuwa nani vile?
Uko leo wametoa sare babuu....manula kafugwa jigoli sio la nchi hii lile ni goli lisilojulikana kabisaaaaKwani wametoka ngapi ngapi leo
Haya basi tumekusikia, Tangu leo wewe ndiyo kocha. Nadhani umeridhikaWatanzania na Wanasimba toka aajiriwe kuinoa Simba, kocha Omog ameonesha uwezo mdogo sana. Hana mbinu mpya wala kuwazidi Kibadeni na Julio. Ni wa kawaida sana. Labda kwa kuwa haongei lugha ya kiswahili ndio maana waliomuajiri wanamwona ni wa maana.
Lakini kwa mpira hana uwezo wa kuipa mbinu Simba. Mwaka jana mbinu zake dhaifu ziliikosesha Simba Ubingwa. Na mwaka huu itakuwa hivyohivyo. Ili Simba iweze kufanikiwa inabidi iachane na Kocha huyu na kutafuta kocha mwenye mbinu.
Hilo ndio suluhisho.
Napendekeza.
10%Kumbe kilio cha Lwandamina na huku kipo!? Basi tuendelee Ku share ukongwe wetu! Japo nyinyi huwa inateremka 1.3 billion dimbani
2_2Kwani wametoka ngapi ngapi leo
Alicheza ila alibanwa mbavuOkwi vipi hakucheza leo?
Ha ha ha manguli Wa 10% si wapo lupango, au kabla ya kwenda huko walichukua zao faster!?