OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Daah, Onyango, Wawa na Nyoni wote vikongwe! Wakikutana na washambuliaji vijana watakimbizwa sana hawa wazee! Msijidanganye na ushindi wa jana dhidi ya Coast union!1.Manula
2.Kapombe
3.Zimbwe
4.Onyango
5.Wawa
6.Nyoni
7.Miquisonne
8.mkude
9.Bocco/Kagere/Mugalu
10.Chama
11.Morisson
Hiki kinatakiwa kuwa kikosi dhidi ya Plateau Utd nje ndani
Naona kasahau jinsi tk master alivyomtoa mtu pumu hahahahaDaah, Onyango, Wawa na Nyoni wote vikongwe! Wakikutana na washambuliaji vijana watakimbizwa sana hawa wazee! Msijidanganye na ushindi wa jana dhidi ya Coast union!
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Toa nyoni ingiza Ame hapo1.Manula
2.Kapombe
3.Zimbwe
4.Onyango
5.Wawa
6.Nyoni
7.Miquisonne
8.mkude
9.Bocco/Kagere/Mugalu
10.Chama
11.Morisson
Hiki kinatakiwa kuwa kikosi dhidi ya Plateau Utd nje ndani
Nakubaliana na wewe mkude hawezi kiungo mkabajina ndio maana beki inaonekana mbovu Shabalala nachelewa kurudi na pia hawezi kujiposition tunapoenda kwenye ligi ya mabingwa makosa yao yanaonekana waziKosi liko poa sana ila mkude na zimbwe wataharibu, trust me.
Hao mabeki wako wakikutana na vi Kisinda watatema ndimi!1.Manula
2.Kapombe
3.Zimbwe
4.Onyango
5.Wawa
6.Nyoni
7.Miquisonne
8.mkude
9.Bocco/Kagere/Mugalu
10.Chama
11.Morisson
Hiki kinatakiwa kuwa kikosi dhidi ya Plateau Utd nje ndani
Hao mabeki wako wakikutana na vi Kisinda watatema ndimi!
Hakufunga ila kazi yake ilikuwa kuwatesa tu wale wazee!Kisinda alifunga goal ngapi?
Mpira starehe sio kutesanaHakufunga ila kazi yake ilikuwa kuwatesa tu wale wazee!
Mimi huwa nafurahi mabeki wakiwa wanateswa na washambuliaji!Mpira starehe sio kutesana
Unamwongelea TK Master aliyenyooshwa na Namungo Jana au TK mwingine?Naona kasahau jinsi tk master alivyomtoa mtu pumu hahahaha
Hahaha wee kalia ushabiki tuu but nakwambia kwa wale head of opposition scouts tayari kwa tukio lile walishaona a weakness to exploit.Unamwongelea TK Master aliyenyooshwa na Namungo Jana au TK mwingine?
Yanga wameshakuwa hopeless.Kisinda alifunga goal ngapi?
Jana alikuwa anafunga nyavu za njeUnamwongelea TK Master aliyenyooshwa na Namungo Jana au TK mwingine?
Jana alikuwa anafunga nyavu za nje
πππJana alikuwa anafunga nyavu za nje