Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Tumetumika, kama Rais mstaafu Mwinyi alivosema kichwa cha mwenda wazimu kila kinyozi anajifunzia kunyoa.
Wachezaji gani wa hizo timu ambao unadhani wangeleta muuniza?Nchi ya kipumbavu sana hii....aliyeamuru wasichukuliwe wachezaji wa Simba na Yanga anajulikana...watu wanajifanya kufukuza kocha...huu unafiki hadi lini nchi hii? kwanza kajitahidi kupata point nne huko CHAN.
Swali gani hili? we mwanamichezo gani usiyemjua Sure boy,Metacha,Iddi Nado au Tshabalala nk.Wachezaji gani wa hizo timu ambao unadhani wangeleta muuniza?