Licha ya kutohusishwa na kwenye ranking, lakini pia haipo kwenye calender ya FIFA kuruhusu wachezaji wa nje nao kucheza. Kwahiyo ukiangalia hizi sababu mbili kuu kwa ujumla tukubali kuwa michuano hii ipo kwa ajili ya kujiburudisha labda na hilo la kupata fursa ya kujipima na vijana wengine. Hebu angalia hiyo Ivory Coast. Ndio hiyo ya kombe la dunia.Anfaal sawa lakini hili wazo/swali halina tija yote ni Tanzania tu au vipi? Makocha wa kizalendo hasa hapa Tanzania hawataki kujifunza ipasavyo na hakuna hata mmoja aliyeonyesha anaweza na uwezo licha ya kusoma sana ujerumani, Brazil etc etc. Mbona hapa kwenye ligi ya nyumbani vijana wanaowafundisha hawaonyeshi kitu chochote? Angalia Moro United Coast Union, Majix2 etc ni butua butua tu hakuna ufundi wowote. Hatuwezi kuwaamini watufundishe soka ya aibu ambayo inatuathiri hata kwenye Timu ya Taifa.
Mwisho si kweli kuwa Challenge cup haitambuliki na FIFA inatambulika ila huwa haisishwi kwenye ranking tu.
Siko optimistic na Kocha yeyote Mzawa ni mawazo yangu. Mafanikio unayosema ni yapi waliyoleta wazawa walipopewa timu?Licha ya kutohusishwa na kwenye ranking, lakini pia haipo kwenye calender ya FIFA kuruhusu wachezaji wa nje nao kucheza. Kwahiyo ukiangalia hizi sababu mbili kuu kwa ujumla tukubali kuwa michuano hii ipo kwa ajili ya kujiburudisha labda na hilo la kupata fursa ya kujipima na vijana wengine. Hebu angalia hiyo Ivory Coast. Ndio hiyo ya kombe la dunia.
Wapo makocha wazalendo na wanamafanikio pia. Mf kocha Mkwasa si wa kubeza. Julio, licha ya mafanikio yake siwezi kuelezea uwezo wake. Hawa makocha wazalendo ni muhimu saana kwa kweli maana ndio wanafaham namna hasa ya kuwasiliana na vijana wetu. Angalia Uingereza sasa hivi wao wamesema wazi next coach atakuwa mzawa. Licha ya hivyo, hao wa kigeni wametusaidia nini mpaka sasa hivi?