KOCHA WA TIMU YA TAIFA STARS. HATUFAI ARUDI KWAO AKAUZE NYANYA

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
3,435
Reaction score
4,245
Viongozi wa TFF tuondoleeni hiyo takataka... hana nia njema na Timu yetu

Ni dhahiri kabisa huyu kocha hatutakii mema sisi watanzania, ambao ni mashabiki wa timu yetu ya Taifa..
Mechi na cape verde alipanga kikosi kibovu tukafungwa.. karudi nyumbani karekebisha kikosi tukashinda..
Leo amekuja kurudia yaleyale.. baada ya kupanga kikosi cha ushindi yeye anapanga kikosi cha majaribio

Huyu kocha hatufai atimuliwe arudi kwao kuuza nyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…