Kocha wa Uhamiaji afichua yaliyojiicha kwenda kucheza mechi zote Libya

Kocha wa Uhamiaji afichua yaliyojiicha kwenda kucheza mechi zote Libya

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kocha Mkuu wa Uhamiaji Ali Bakari amefunguka yote timu yake kwenda kucheza michezo yote miwili dhidi ya Al Ahli Tripoli huku nchini Libya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Katika mchezo wao wa mkondo wa kwanza Uhamiaji walikubali kichapo cha magoli mawili kwa sifuri kutoka kwa Al Ahli Tripoli.

Katika mazungumzo yake inaonyesha wazi ndani ya uongozi wa Uhamiaji kuna jambo alipo sawa na linapaswa kulifanyia kazi au kuwekwa wazi ili wadau na mashabiki wa timu hii kuweza kuisaidia, Kuliko kuendelea kufanya mambo meusi kama haya ambayo inaonyesha kushusha thamani timu na soka la Zanzibar.

Soma Pia: Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

 
Back
Top Bottom