Kocha wa Usm Alger: mchezo bado ni hamsini kwa hamsini japokuwa tumepata matokeo ugenini.

Kocha wa Usm Alger: mchezo bado ni hamsini kwa hamsini japokuwa tumepata matokeo ugenini.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kocha Mkuu wa USM Alger Benchikha Abdelhak amesema bado ni 50 kwa 50 kwa kikosi chake kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika, licha ya kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Young Africans jana Jumapili (Mei 28).

Young Africans ilikuwa nyumbani Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam ikishuhudiwa na Mashabiki na Wanachama wake, lakini ilishindwa kufurukuta, na sasa inajipanga kwenya kujiuliza kwenye mchezo wa Mkondo wa Pili utakaopigwa Jumamosi (Juni 03) nchini Algeria.

Kocha Benchikha amesema inafurahisha kushinda ugenini, lakini bado wana kazi kubwa katika mchezo wa Mkondo wa Pili ambao anaamini utakua mgumu zaidi, kwa sababu utakwenda kuamua nani atakuwa Bingwa wa Kombe la Shirikisho msimu huu.
 
Hiyo ni statement ya kuonyesha anamheshimu mpinzani.
 
Huu ni mtego mkajae Kule mrudi na mkono tucheke vizuri.
 
Msimuamini bongozozo
Atawaingiza cha kike[emoji38][emoji38]
IMG_20230529_012859.jpg
 
Mpira tayari umeishia Dar kule ni kile waingereza wanachoita formality .
 
Back
Top Bottom