Kocha wa Yanga analazimishwa kumpanga Dube?

Kocha wa Yanga analazimishwa kumpanga Dube?

Ni kweli, analazamishwa.

Kuna yule Mchungaji feki, alomwambia Dube kua hapo katikati atakua Tena hafungi ila asirudi nyuma, Et mungu ndo anampima
.


Hivo KOCHA analazamishwa kumuweka ili ionekane Utabiri wa Nabii feki uko sawa
 
Naangalia mechi ya Orlando na Al Ahly hapa aisee Orlando wana balaaa

Mwarabu kapigwa chuma na mpira bado anautafuta na ukumbuke hapo ni Cairo

Orlando anaubonda sana.

Japo Al ahly hatabiriki
 
Kusema ukweli tangu Fiston Kalala Mayele aondoke Yanga, pengo lake halijawahi kuzibwa pale mbele! Kuanzia Hafiz Konkoni, Kenned Musonda, Joseph Guede, Clement Mzize, Baleke, na hata Prince Dube; wote hawa wameshindwa kabisa kuvaa viatu vya Fiston Mayele!
Kwahiyo mlitegemea hao vibabu wawapeleke robofainali ya CAFCL ? Acheni utani aisee!

Chama 36+
Pacome 34+
Aucho 37+
Boka Njolinjoli 34+
Diara 30+
 
Orlando wala sidhan kama ataqualify
Orlando anakuumbua
Screenshot_20250118-205334.png
 
Back
Top Bottom