wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Kwani yale maji ya upako ameacha kutumia!? Au Simba na Azam wameanza tena kumloga!?Kwenye mechi zote 3 zilizopota kuanzia ya Mazembe kwa mkapa, Al Hilal ugenini na Leo dhidi ya Algers, Dube kaonyesha kuwa na uwezo mdogo sana,
Kocha ana malengo yapi na huyu mchezaji ?
Mnamtafuta wa kumuangushia jumba bovuKwenye mechi zote 3 zilizopota kuanzia ya Mazembe kwa mkapa, Al Hilal ugenini na Leo dhidi ya Algers, Dube kaonyesha kuwa na uwezo mdogo sana,
Kocha ana malengo yapi na huyu mchezaji ?
Naangalia mechi ya Orlando na Al Ahly hapa aisee Orlando wana balaaa
Mwarabu kapigwa chuma na mpira bado anautafuta na ukumbuke hapo ni Cairo
Naangalia mechi ya Orlando na Al Ahly hapa aisee Orlando wana balaaa
Mwarabu kapigwa chuma na mpira bado anautafuta na ukumbuke hapo ni Cairo
Alipelekwa Yanga ili kuwafunga Simba na sio kucheza mpira wa kiushindani. Aibu kwaoKwenye mechi zote 3 zilizopota kuanzia ya Mazembe kwa mkapa, Al Hilal ugenini na Leo dhidi ya Algers, Dube kaonyesha kuwa na uwezo mdogo sana,
Kocha ana malengo yapi na huyu mchezaji ?
Game ishageuka hii. Mwarabu kachchmaaaNaangalia mechi ya Orlando na Al Ahly hapa aisee Orlando wana balaaa
Mwarabu kapigwa chuma na mpira bado anautafuta na ukumbuke hapo ni Cairo
Kwahiyo mlitegemea hao vibabu wawapeleke robofainali ya CAFCL ? Acheni utani aisee!Kusema ukweli tangu Fiston Kalala Mayele aondoke Yanga, pengo lake halijawahi kuzibwa pale mbele! Kuanzia Hafiz Konkoni, Kenned Musonda, Joseph Guede, Clement Mzize, Baleke, na hata Prince Dube; wote hawa wameshindwa kabisa kuvaa viatu vya Fiston Mayele!
Na manywele ndie kocha wao wa fitnessNaangalia mechi ya Orlando na Al Ahly hapa aisee Orlando wana balaaa
Mwarabu kapigwa chuma na mpira bado anautafuta na ukumbuke hapo ni Cairo
Na ni njolinjoli kweli na Rais waoKwahiyo mlitegemea hao vibabu wawapeleke robofainali ya CAFCL ? Acheni utani aisee!
Chama 36+
Pacome 34+
Aucho 37+
Boka Njolinjoli 34+
Diara 30+
Aucho ni mkubwa zaidi kuliko FadluKwahiyo mlitegemea hao vibabu wawapeleke robofainali ya CAFCL ? Acheni utani aisee!
Chama 36+
Pacome 34+
Aucho 37+
Boka Njolinjoli 34+
Diara 30+
Orlando wala sidhan kama ataqualifyJamaa mwaka huu wa Moto balaa Anakuja kuwa mbadala wa Mamelord naona
Orlando anakuumbuaOrlando wala sidhan kama ataqualify
Baba Bora Yanga katoka ila angeaibika vibaya sanaa.Naangalia mechi ya Orlando na Al Ahly hapa aisee Orlando wana balaaa
Mwarabu kapigwa chuma na mpira bado anautafuta na ukumbuke hapo ni Cairo
Orlando ka qualify kwanzia wiki iliyopitaOrlando wala sidhan kama ataqualify