Yanga ndio waliokota dodo CV yake imenyooka haija pinda pinda sio kama yule kocha wa shirikisho akisaidiwa na marefaAliokota dodo chini ya mti Yanga. Huko ndo tutapima uwezo wake.
Mgosi kwa Yanga ile hata kocha angekua gigy mane Simba angefungwa tu.Mwamba sana huyu. Binafsi simdai chochote. Mechi ya derby alipanga kikosi cha maangamizi! Na bado mabadiliko yake nayo aliyo yafanya yalikuwa ni balaa kweli kweli.
hamdi aliomba kuondoka na alisema anapenda kufundisha kwenye ligi ya misriAliyekuwa kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi kutoka Algeria ametambulishwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Ismaily Sc ya Nchini Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la ongezeko la mwaka mmoja zaidi.
Hamdi ameondoka Yanga Sc baada ya kuiongoza Yanga Sc kutwaa mataji matatu yakiwemo ubingwa Ligi Kuu bara, kombe la Shirikisho la CRDB na kombe la Muungano kwa msimu wa 2024/25.View attachment 3392177
Yanga ni timu ndogoPesa bila shaka au mazingira ya soka la bongo na mambo yake ya shirki!
Kwa career yake, Yanga ilimfaa kuliko huko!
Mwenzako kafundisha hadi ufaransa,siyo Julio au mkwasa huyoAliokota dodo chini ya mti Yanga. Huko ndo tutapima uwezo wake.
Ila Mokwena kama simuelewi hivi, huwa namuona kama yule mchekeshaji wa Kenya aitwaye Nduguchi.Mwamba sana huyu. Binafsi simdai chochote. Mechi ya derby alipanga kikosi cha maangamizi! Na bado mabadiliko yake nayo aliyo yafanya yalikuwa ni balaa kweli kweli.