Kocha wa Yanga ni kiburi,adhibitiwe mapema

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

82643531_125128455658053_1971754270810177536_n.jpg

Natoa wito kwa TFF na hata club ya Yanga,kumdhibiti kocha Luc mapema iwezekanavyo. Nimemsikiliza mahojiano yake baada ya kupigwa na Azam ameonyesha dhahiri kwamba ni kiburi na mzushi kuliko kiasi.

Kinachonisikitisha zaidi ni kuingiza ubaguzi wa rangi katika michezo. Tanzania na ubaguzi wa rangi wapi na wapi. Amenyimwa mkono kama ambavyo angenyimwa Matola au Masta Mkwasa.

Nimemsikia pia akisema ingekuwa Congo mashabiki wangeingia uwanjani. Hii ni kauli ya kichochezi.
 
Unaweka hisia zako kama ambavyo kocha ameweka hisia.Katika utamaduni wa wanaulimwengu hasa wanadamu,ukimpa mtu mkono ,akiuona halafu akaupuuza hapo hnaweza kutafsiri jambo baya lolote,likiwepo la ubaguzi.Hata kama ni kwa mweusi kwa mweusi basi ujue bado tu ujue mtu kakubagua aidha kwa sababu yoyote ile.
Pia usichonganishe kocha na TFF au na Wanayanga.Football is fair play na kupeana mkono ni moja ya fairplay worldwide.suala ni kwa nini Refa wa simba hakutaka mkumpa mkono Kocha?ukijibu hapo utakuwa umesaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Yanga ila nina hisia fulani kuna kitu hakipo sawa kuhusu huyu kocha. Muda utaongea.

Anyway ndani ya mada, mkuu vipi ile freekick ya Mbao kipa alikuwa Manula?!!
 
Yaani kuna wakati Yanga inatuumiza vichwa mashabiki wake nabakia kuliwazwa na vigelegele na miluzi ya yule shabiki kiongozi - "Potelea pwete; tumeipenda wenyewe, hii ni ya kwetu; wacha ituue"😣
 
Unaweka hisia zako kama ambavyo kocha ameweka hisia.Katika utamaduni wa wanaulimwengu hasa wanadamu,ukimpa mtu mkono ,akiuona halafu akaupuuza hapo hnaweza kutafsiri jambo baya lolote,likiwepo la ubaguzi.Hata kama ni kwa mweusi kwa mweusi basi ujue bado tu ujue mtu kakubagua aidha kwa sababu yoyote ile.
Pia usichonganishe kocha na TFF au na Wanayanga.Football is fair play na kupeana mkono ni moja ya fairplay worldwide.suala ni kwa nini Refa wa simba hakutaka mkumpa mkono Kocha?ukijibu hapo utakuwa umesaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vzr sana, kwa mpira ni fair play.
Lakini Kwenye tukio la kocha wa yanga na mwamuzi tujiulize huo mkono alikua anampa kwa wakati gani. Je baada ya mchezo, katikati ya mchezo au mwanzo wa mchezo?
Kocha wa yanga alikua anawalalamikia marefa baada ya kadi ya Sonso, refa akampa kadi ya njano, baada ya kupewa kadi ya njano, kocha anampa mkono refa.
Je, kati ya hapo nani alionesha dharau, afu je, refa anapewa mikono baada ya mechi kuisha au kati kati wakt mpira unaendelea?
Hapa umemzungumzia refa kua wa simba, inawezekana ikawa refa shabiki wa simba, sasa je ni kosa gani alilolifanya refa linaloonesha anaipendelea Azam?
Je, kadi nyekundu ya Sonso ni halali au si halali?
Au je, kuna goli lolote yanga imefunga refa kalikataa?

Kuna tukio baya alilifanya chilwa kumchezea jaffari na jingine ni sure boy kumchezea molinga na yote hakutoa ata kadi ya njano tuu na yalikuwa matukio mabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Senior Adviser wa Simba anasemaje kuhusu hili?
Tunajua behind the scene ni senior adviser wa TFF na hasa Karia mwenyewe.
 
kwa nini kila kocha wa yanga anawalalamikia marefa? alianza Zahera, Mkwasa, sasa hivi huyu mzungu, Marefa wanaididimiza sana Yanga kwa maagizo ya MO.
 
Umeongea vzr sana, kwa mpira ni fair play.
Lakini Kwenye tukio la kocha wa yanga na mwamuzi tujiulize huo mkono alikua anampa kwa wakati gani. Je baada ya mchezo, katikati ya mchezo au mwanzo wa mchezo?
Kocha wa yanga alikua anawalalamikia marefa baada ya kadi ya Sonso, refa akampa kadi ya njano, baada ya kupewa kadi ya njano, kocha anampa mkono refa.
Je, kati ya hapo nani alionesha dharau, afu je, refa anapewa mikono baada ya mechi kuisha au kati kati wakt mpira unaendelea?
Hapa umemzungumzia refa kua wa simba, inawezekana ikawa refa shabiki wa simba, sasa je ni kosa gani alilolifanya refa linaloonesha anaipendelea Azam?
Je, kadi nyekundu ya Sonso ni halali au si halali?
Au je, kuna goli lolote yanga imefunga refa kalikataa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali kuntu Hilo.
 
View attachment 1328284

Natoa wito kwa TFF na hata club ya Yanga,kumdhibiti kocha Luc mapema iwezekanavyo. Nimemsikiliza mahojiano yake baada ya kupigwa na Azam ameonyesha dhahiri kwamba ni kiburi na mzushi kuliko kiasi.

Kinachonisikitisha zaidi ni kuingiza ubaguzi wa rangi katika michezo. Tanzania na ubaguzi wa rangi wapi na wapi. Amenyimwa mkono kama ambavyo angenyimwa Matola au Masta Mkwasa.

Nimemsikia pia akisema ingekuwa Congo mashabiki wangeingia uwanjani. Hii ni kauli ya kichochezi.

Umeandika makorokocho, ukachanganya na limbwata, Kisha ukaweka mkorogo na karolaiti, ukaweka pia na petroli na kitambulisho Cha NIDA.
Briefly ni kwamba hujaeleweka
 
TFF kwa hili wawe wakali wakimlegezea tu itakuwa yale yale ya Zahera kukaa juu ya viongozi wa Yanga na TFF halafu kukawa hakuna wa kumdhibiti. Suala alilozusha juu ya kubaguliwa wakati sio kweli ni suala zito sana na linagusa maslahi mapana ya Taifa. Hata mimi ningekuwa refa halafu nimeshampa kadi nisingemsogelea kupokea mkono wake maana sijui dhamira yake ni mbaya au ni nzuri kwa wakati ule na hasa hasira alizokuwa anazionyesha kama chui aliyejeruhiwa. Hivyo aonywe na aombe radhi hadharani na afute kauli yake hiyo haraka sana.

Ila viongozi wa Yanga ndio wa kulaumiwa kwa kuwaruhusu wafadhili kuleta kocha mpya tena anayepaniki bila hata sababu za msingi. Kufungwa tu mechi mbili anapaniki kiasi kile. Hivi kulikuwa na shida gani Mkwasa kumalizia msimu halafu ndio viongozi wamlete huyu mzee wa kupaniki mwishoni mwa msimu? Hivi kazi kubwa aliyoifanya Mkwasa ndani ya muda mfupi kuibadilisha Yanga ya Zahera kuwa Yanga ya ushindani haikuonekana? Au ndio mwenye fedha zake akiamua kufanya chochote ndani ya Yanga kunakuwa hakuna wa kumpinga.
 
Anza ku declare interest kwanza.
Wewe ni Simba au Yanga. Usipuyange na kujikanganya.
Kipi cha ajabu alichofanya kocha?
 
TFF kwa hili wawe wakali wakimlegezea tu itakuwa yale yale ya Zahera kukaa juu ya viongozi wa Yanga na TFF halafu kukawa hakuna wa kumdhibiti. Suala alilozusha juu ya kubaguliwa wakati sio kweli ni suala zito sana na linagusa maslahi mapana ya Taifa. Hata mimi ningekuwa refa halafu nimeshampa kadi nisingemsogelea kupokea mkono wake maana sijui dhamira yake ni mbaya au ni nzuri kwa wakati ule na hasa hasira alizokuwa anazionyesha kama chui aliyejeruhiwa. Hivyo aonywe na aombe radhi hadharani na afute kauli yake hiyo haraka sana.

Ila viongozi wa Yanga ndio wa kulaumiwa kwa kuwaruhusu wafadhili kuleta kocha mpya tena anayepaniki bila hata sababu za msingi. Kufungwa tu mechi mbili anapaniki kiasi kile. Hivi kulikuwa na shida gani Mkwasa kumalizia msimu halafu ndio viongozi wamlete huyu mzee wa kupaniki mwishoni mwa msimu? Hivi kazi kubwa aliyoifanya Mkwasa ndani ya muda mfupi kuibadilisha Yanga ya Zahera kuwa Yanga ya ushindani haikuonekana? Au ndio mwenye fedha zake akiamua kufanya chochote ndani ya Yanga kunakuwa hakuna wa kumpinga.
Hapo kwenye bold nimekuelewa sana
 
Unaweka hisia zako kama ambavyo kocha ameweka hisia.Katika utamaduni wa wanaulimwengu hasa wanadamu,ukimpa mtu mkono ,akiuona halafu akaupuuza hapo hnaweza kutafsiri jambo baya lolote,likiwepo la ubaguzi.Hata kama ni kwa mweusi kwa mweusi basi ujue bado tu ujue mtu kakubagua aidha kwa sababu yoyote ile.
Pia usichonganishe kocha na TFF au na Wanayanga.Football is fair play na kupeana mkono ni moja ya fairplay worldwide.suala ni kwa nini Refa wa simba hakutaka mkumpa mkono Kocha?ukijibu hapo utakuwa umesaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umeangalia clip vizuri? Je kocha anaruhusiwa kuingia uwanjani bila kuitwa na refa? Mimi mpenzi wa Yanga lakini kocha alifanya kosa kuvuka mstari wa uwanja na kama refa angalikubali mkono wake, lingekuwa kosa la refa! Huyo kocha ana igo tu la kizungu
 
huyoo aliye andika hiyo 'taarifa' ya tff si ni member humu jamvini na woote tunamjua kwa namna alivyo mnazi kweli kweli wa simba, akiendelea na ka tabia hako nitamwanika ID yake hadharan ingawa sheria za JF zinakataza……...
 
Yanga ndo mnapofeli, mnashindwa kusema tatizo LA msingi la timu yenu, mnatafuta visingizio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga ndo mnapofeli, mnashindwa kusema tatizo LA msingi la timu yenu, mnatafuta visingizio.

Sent using Jamii Forums mobile app
ukiiangalia vizuri hiyo 'taarifa' ya kipumbavu ya huyo falla utaona tayari amesha toa hukumu tena yeye binafsi bila hata ya kuishirikisha kamati yoyote, ajeee akomenti aone nitakavyo mchana.....kubabaakeee!
 
Back
Top Bottom