TANZIA Kocha wa zamani wa Simba, Dkt. Adel Zrane afariki Dunia

Asanteni kwa pole zenu, kwa niaba ya familia ya Simba tunazipokea salamu hizo japo msiba huu umetuumiza sana.

Mungu aiweke mahali pema peponi roho ya marehemu.
 
Asanteni kwa pole zenu, kwa niaba ya familia ya Simba tunazipokea salamu hizo japo msiba huu umetuumiza sana.

Mungu aiweke mahali pema peponi roho ya marehemu.
Rambi rambi anakusanya nani?
 
Yani mpaka Sasa Haijulikani kifo chake kimetokana na Nini Maana Hakuwa mgonjwa. APR waliocheza mechi jumapili nae Alikuwepo uwanjani akiwafanyisha wachezaji Mazoezi ya kupasha misuli Jana wakapumzika Leo mchana walitakiwa kurudia mazoezini

Dereva wake alipompitia kwenye apartment anayokaa Kwa akili ya kumpeleka mazoezini aliira lakini hakujibiwa kitu hivyo akawajulisha Viongozi wa APR ambao nao walifika lakini walikua gundua amefarika Akiwa Kitandani baada ya kumchungulia Dirishani kwake
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…