Kocha yeyote professional hawezi kuleta maajabu kwa Simba hii, imechoka sana

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Ondoa haraka sana wachezaji hawa dirisha dogo.

1.Jimmyson Mwinuke
2.Gadiel Michael
3.Erasto Nyoni,
4.Jonas Mkude
5.Sadio Kanoute
6.Peter Banda
7.Victor Akpan
8.Nelson Okwa
9.Mohamed Quattara
10.John Bocco
11.Denis Kibu

Hawa ni wachezaji wa kawaida sana, wanachokitafuta viongozi watakipata, uchaguzi hauko mbali.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa mpito, kuna muda mchezaji anacheza mpira wa hovyo sio kwasababu ya kiwango

Mfano Israh aliwahi kutufungisha kwenye mechi ya KMC na siku ile alicheza mechi vibaya.

Lakini baada ya pale katika mechi zilizofuata alikuwa bora na wote tulipendezewa na kiwango chake

Mzamiru Yassin ambaye humu tulikuwa tuliimba kuwa hana kiwango, ameshuka, hajitumi, umri umeenda nk. Lakini mwana Simba gani ambaye saizi anaweza akatoka mbele kudai Mzamiru ni mbovu?

Kwa hiyo hapa mi naona busara ni kwamba pale inapoonekana mchezaji fulani haoneshi kiwango basi ni vyema akafanyiwa sub au akawa anatokea nje ili apate recovery nzuri

Nb: Ikumbukwe kuwa sipingi kuwa hatuhitaji kusajili wachezaji wengine

Napinga sababu nyepesi ya kuachana na mchezaji kwa kuangalia performance ya mechi mbili alizocheza chini ya kiwango
 
Yamekuwa ayo tena wazee wa boli linatembea, Mechi na ihefu mnaanza kutafutana
 
Hapo abaki Sadio kanute na Peter Banda tu.
Mkude ni Yanga lialia.
Kama mnakumbuka yeye ndio aliyesababisha faulo za makusudi ili Simba ifungwe.

Alisababisha faulo ya makusudi Morrison akatufunga.

Juzi alisababisha faulo nyingine isiyo ya lazima Azizi Ki akatufunga.

Mkude ni mamluki asichezeshwe kabisa katika mechi za Simba na Yanga.
Mkude ni Yanga lialia
 
Aliyesababisha faulo alifunga azizi ki ni Mzamiru
 
Mkuu, kwenye orodha ya mleta mada hapo juu ..ni Putin na Banda pekee ambao unaweza kusimama na kuwakingia kifua...wengine hao wanastahili kuondoka haraka sana

Simba kwa sasa haiwahitaji na hawana maajabu tena ya kuisaidia club kutimiza malengo yake
 
itabidi utume Cv zako simba
 
Wewe jamaa ni mnafiki huku unatetea Kibu Denis kule unasema Azizi K ni mbovu [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mashabiki wa matokeo hao
 

Kuna timu isiyofungwa duniani??
 
Kinyonge mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ubishi wachezaji wenu wana perform game zaifu tu hadi mtibwa ipewe red card mbili bila ivyo game zote ngumu kidogo mnazidiwa shida ya Simba kiungo hakuna

Mzamiru akuna kitu kanoute creativity zero huwezi kupata matokeo kwa ivyo
 
Faulo ya yanga alicheza mzamiru

Naumia sana nikiona mtu anasema kanoute abaki pale akuna kiungo mtaendelea kulaumu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…