Kocha yeyote professional hawezi kuleta maajabu kwa Simba hii, imechoka sana

Kuna kitu kinaitwa mpito, kuna muda mchezaji anacheza mpira wa hovyo sio kwasababu ya kiwango

Mfano Israh aliwahi kutufungisha kwenye mechi ya KMC na siku ile alicheza mechi vibaya...
Mtu anapokuwa sio mbovu haimaanishi kuwa ni mzuri. Scale haina sehemu mbili tu (mzuri na mbovu) kuna size ya Kati pia,juu ya size ya Kati, chini ya size ya Kati.

Muzamiru ameonekana kushine simba ilipoanza kupanga kikosi kitamu chenye mafundi tupu,kazi yake ikawa rahisi.

Mwenda amewasahaulisha wanasimba kwa kufunga goli kule Angola. Hili goli mwenyewe alivyofunga akashukuru Mungu kuwa kapona.

Hata Mauya alivyofunga 1-0 ninaaamini ilimpa mkataba. Vile vile Mapinduzi kwenye 2-2.

Kuna matukio yanafanya madhaifu ya mchezaji yapotezewe
 
MKUU ACHANA NA MITANZANIA HAIJUI KWAMBA MANCHESTER UNITED NI KUBWA MARADUFU KUZIDI SIMBA.MAJINGA HAYATAJUA KWANINI NIMESEMA HIVI.mwataka kila siku mshinde ninyi tu eboooh.
 
Unacheza na ihefu unaanza na viungo wawili tena wakabaji team inatembeaje sasa kanoute na mzamiru Yassin wote wanafanya kitu kimoja team inapoga back pass nyingi sana kazi kweli kweli.
 
Simba Ina walimu makini kutetereka kidogo kwa timu kusisababishe kiwewe kwa wapenzi wake, stay cool focus forward... As young did.
 
Unacheza na ihefu unaanza na viungo wawili tena wakabaji team inatembeaje sasa kanoute na mzamiru Yassin wote wanafanya kitu kimoja team inapoga back pass nyingi sana kazi kweli kweli.
🤣🤣🤣🤣 acha wafu wazikane,,,boli linatembea mjombaaa
 
Acha ubishi wachezaji wenu wana perform game zaifu tu hadi mtibwa ipewe red card mbili bila ivyo game zote ngumu kidogo mnazidiwa shida ya Simba kiungo hakuna

Mzamiru akuna kitu kanoute creativity zero huwezi kupata matokeo kwa ivyo
Game dhaifu kwani wanajipangia wao au wanapangiwa na bodi ya ligi?

Hao uliowataja kuwa hawana kitu imeonesha jinsi gani hujui mpira
 
Mwenda ukiachana na kufunga lakini hata performance yake ilikuwa high sana kwenye mechi zilizofuata baada ya kufanya makosa kwenye ile game na KMC
 
Ukweli mtupu
 
Hapa umeongea kihisia sana, hakuna ukweli wowote
 
Simba inahitaji mshambuliaji makini na mtu wa kuchukua nafasi ya chama maana atachoka, si sawa kumtegemea yeye tu kwenye hiyo nafasi. Tunahitaji pia kocha mwenye mbinu au kama ni huyu basi apewe mkataba wenye hadhi ya kocha mkuu wa simba ili ajitume.
 
Mwenda ukiachana na kufunga lakini hata performance yake ilikuwa high sana kwenye mechi zilizofuata baada ya kufanya makosa kwenye ile game na KMC
Performance Inafaa ipimwe kea kuangalia upinzani aliokutana nao. Je,alikutana na kash kash kama za mwanzo zilizofanya asiaminiwe mwanzo?
Mimi ninaaamini lile goli la Angola ndio limekuwa upenyo wa yeye kuchukuliwa poa pia hali Kapombe kuumwa ikabidi tumpende kwa lazima
 
Game dhaifu kwani wanajipangia wao au wanapangiwa na bodi ya ligi?

Hao uliowataja kuwa hawana kitu imeonesha jinsi gani hujui mpira
Game ipi ngumu mlioshinda msimu huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…