C craq JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 859 Reaction score 1,866 Dec 3, 2018 #1 Dah inauma sana ukiona mpaka Mtu mzima analia hivi ujue inatia hasara.Tff na waamuzi badilikeni ase 1.uwanja una madimbwi na matope 2.kisha Refa anakuja kuchezesha hovyo
Dah inauma sana ukiona mpaka Mtu mzima analia hivi ujue inatia hasara.Tff na waamuzi badilikeni ase 1.uwanja una madimbwi na matope 2.kisha Refa anakuja kuchezesha hovyo
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,654 Dec 4, 2018 #2 Zaheara ni kocha asee japo mi mnyama damu
Mawembasa1979 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 2,540 Reaction score 3,333 Dec 4, 2018 #3 Victor wa happy said: Zaheara ni kocha asee japo mi mnyama damu Click to expand... Wenzako watakubishia Mkuu!
Victor wa happy said: Zaheara ni kocha asee japo mi mnyama damu Click to expand... Wenzako watakubishia Mkuu!