Kocha Zidane Alipochanikiwa Suruali Hadharani

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Suruali ya kocha wa Real Madrid, Zinadine Zidane ikiwa imechanika usiku wa jana wakati akishangilia ushindi wa 3-0 dhidi ya Wolfsburg ya Ujerumani, mabao yote yakifungwa na Cristiano Ronaldo katika mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Bernabeu na kutinga Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kufungwa 2-0 Ujerumani. Kocha wa zamani wa Barcelona, Pep Guardiola aliwahi kupatwa na mkasa huo katika klabu yake ya sasa Bayern Munich akishangilia ushindi wa 6-1 dhidi ya Porto mwaka jan

ii gasia ndo mana babu LVG anajikaliaga zake chini tu mwanzo mwisho
 
Hizi suruali zinaaibisha"GA" vibaya.
 
Sometimes na wenyewe wanavaa vi-suti vya kubana mno
Misuti ile sio visuti... ghaaaaaaarama bobuuu sio kununua vitambaa vya mita kadhaa halafu ukampa fundi.zile ni fashionable design and very expensive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…