Kocha Zinedine Zidane ajiuzulu kuifundisha Klabu ya Real Madrid

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Gazeti la Cadena SER kutoka nchini Hispania, limeripoti kwamba taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Real Madrid ni kwamba Kocha Zinedine Zidane 'Zizzou' (45), amejiuzulu nafasi ya kuifundisha Klabu ya Real Madrid ikiwa imepita siku tano tangu kuiongoza timu hiyo kutwaa taji la ligi ya mabingwa barani Ulaya (UEFA) mara tatu mfululizo.

Zidane mkataba wake wa sasa ulikuwa unaisha mwaka 2020.

====

Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane ametangaza kujiuzulu nafasi nafasi hiyo leo Alhamisi ikiwa ni siku tano tangu aipe timu yake taji la ubingwa mara ya tatu mfululizo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Zidane anaondoka klabuni hapo kwa heshima baada ya kuitumikia kwa miaka miwili. Mfaransa huyo ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo katika mkutano wake na waandishi wa habari leo.

Kocha Zidane alithibithisha leo mchana kwamba ataachia nafasi hiyo kama kocha mkuu wa Real Madrid licha ya kuipataia mafanikio makubwa klabu hiyo.

Mkongwe huyo wa soka mwenye miaka 45, baada ya kutwaa ubingwa wa Uefa ilikuwa inatabiriwa angeongezewa mkataba hadi mwaka 2020. Hata hivyo awali kulikuwa na presha kubwa kutoka uongozi wa Madrid kutokana na kutofanya vyema kwenye La Liga msimu huu ulioisha.

Makocha Arsene Wenger na Antonio Conte ni miongoni mwa wanaotajwa kumrithi Zidane, huku Conte akipewa nafasi kubwa Zaidi.

Zidane alimrithi kocha Rafael Banitez Januari 2016 na msimu huo huo aliipa taji la Ligi ya Mabingwa timu hiyo.



Zinedine Zidane announced that he's leaving Real Madrid with immediate effect after winning the third straight European title for the club.

The club surprisingly announced a press conference in Valdebebas this morning and the French coach told the media that he won't be coaching the team next season.

Cadena SER and GOL Televisión confirmed the news that Zidane is in fact leaving Madrid.

This has been a tough season for him as the team failed to compete in La Liga and the Copa del Rey, with Zidane being critisized often.

Zinedine Zidane has become one of the most successful coaches in Real Madrid history after winning three Champions League titles, one La Liga title, two European Supercups, two FIFA Club World Cups and a Spanish Supercup in just two and a half seasons.

Real Madrid have not named Zidane's replacement and right now no candidates have been mentioned, although it looks like Guti or Mauricio Pochettino could be the ones coaching the club next season.


Source: Zidane announces he leaves Real Madrid
 

Kwa rekodi yake ya kuchukua Ubingwa tena wa Ulaya mara tatu ( 3 ) mfululizo ' treble ' Zinedine Yazid Zidane ' Zizzou ' angeendelea kubaki Kuwa ' Manager ' wa Real Madrid ningemdharau na kumpuuza sana. Sasa hivi ajiandae tu kufundisha Timu ya Taifa ya Ufaransa pale Fainali za Kombe la Dunia zikimalizika mwezi July.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…