mtukutu sana yule bwegeYaaah ana kesi bado
anabeef na luda hahahahaSana mkuu hizo bifu kama zote
Adondoshe kitu kipya sasa
kumbe na ww unafatiliaga trapTakashi mshenzi sana
Napenda anavyo rap lakin sinahata nyimbo zakekumbe na ww unafatiliaga trap
Ya nini mimi?Hadi ile ypo na nick minaj huna?
Uchafu mtupuKwa wale wapenz wa kufatilia new rap generation kwa wenzetu mbele nani mkali hapo?