James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Na hapo ni aya moja yenye sentensi mbili. Imagine kama ni pepa yenye kurasa 20. Msomaji unaweza kujirusha kutoka ghorofani ili kukata mzizi wa fitina!Kodo=kodi
Uagozapo=uagizapo
Haar=habari.
Ntaka=nataka.
Hinapofika=inapofika.
Take=yake.
Pole mkuu utaizoea muda si mrefu.
ulifikia wapi hii issueata mm nahtaj kujua kwa kwel napenda bajaj pulsar 200ns bei kule kwa india uki convet ki huku ni mil 2 na kitu bei ya shipin cjajua hata kodi naomben kujua