Kodi kwenye mafuta haiepukiki

Zote hizo ni nchi zilizoendelea zenye GDP kubwa na mapato makubwa ya wananchi wao.
Tafuta kingine pse.
 
I am coming out! I am coming out!
Natoka! Natoka!
 
Mnavyopenda kuilinganisha Tanzania na nchi zilizo endelea! Na bi mkubwa wako naye juzi tu hapa alisema bei yetu ya mafuta ni ndogo ukilinganisha na Marekani!

Sisi ni wa kulinganishwa na Marekani kweli!
Recent World Bank analysis shows that taxes on petroleum products are a critical source of government revenue for low-income countries. And if the experience of industrial countries serves as any guide, the rates of these taxes will have to rise sharply as low-income economies develop. But policymakers must be mindful of how taxes (and subsides) affect the relative prices of fuels, since too large a difference in process between products cab lead to fuel switching and adulteration, adversely affecting the government tax take and pollution levels.
 
Sasa kwa nchi iliyojaliwa utajiri wa kila aina ya maliasili kama Tanzania, kuna sababu za msingi kweli za kuhemea zaidi kwenye kodi ya mafuta kama chanzo chake kikuu cha mapato?
 
I am coming out! I am coming out!
Natoka! Natoka!
 
Wenzetu wameishia 69%

Tanzania ni 110%
Huoni tofauti?
Wastani wa bei ya diesel ni 3200.
Kodi na tozo ni 1,700/lita..huoni tofauti?
Ni kweli kabisa na hiyo ni kwa sababu sisi tunakuwa mahitaji yetu ni makubwa- hebu fikiria kuutoa umeme ubungo hadi ufike kule ulikonunua kiwanja na kujijengea kajumba kako- na utaka ufike kwa barabara ya rami na uwe na maji ndani- inahitaji pesa.
 
Wese linafika bandarini kwa bei ya 1500+ ila unakuja kuuziwa 3200+ karibu buku mia 7,zaidi ya asilimia mia.. Huoni huo mzigo, huyo mwenye tax ya juu ni 69%

Baadhi ya wabongo, huu umbwiga wenu, kulamba makalio, upraise team wenu ndio mnatuponza na sie. [emoji2959]
 
hamia Burundi ujitenge na sisi tukipotea urudi
 
Kichwa na mwili havifanani

vp ushakula ile kitu yetu chuga nini?
Gasoline prices, 02-May-2022(litre, U.S. Dollar)
0.022
0.031
0.053
0.286
0.318
0.342
0.395
0.428
0.446
0.468
0.471
0.484
0.514
0.528
0.531
0.544
0.577
0.579
0.588
0.602
0.618
0.621
0.621
0.674
0.677
0.734
0.76
0.804
0.807
0.831
0.883
0.907
0.918
0.945
0.957
0.965
0.967
0.97
0.987
0.99
0.994
0.997
1.004
1.026
1.027
1.043
1.052
1.077
1.08
1.088
1.118
1.129
1.135
1.139
1.142
1.145
1.148
1.148
1.187
1.19
1.19
USA*
1.21
1.212
1.216
1.218
1.22
1.221
1.226
1.232
1.241
1.244
1.245
1.247
1.256
1.26
1.268
1.287
1.295
1.298
1.299
1.308
1.312
1.319
1.324
1.332
1.34
1.342
1.343
1.349
1.353
1.354
1.369
1.373
1.374
1.391
1.395
1.398
1.399
1.406
1.406
1.408
1.424
1.425
1.432
1.435
1.453
1.476
1.48
1.489
1.494
1.514
1.531
1.555
1.555
1.555
1.56
1.561
1.571
1.574
1.579
1.579
1.58
1.589
1.606
1.617
1.627
1.65
1.655
1.694
1.699
1.71
1.743
1.762
1.764
1.772
1.785
1.786
1.818
1.82
1.82
1.834
1.844
1.851
1.87
1.906
1.911
1.925
1.944
1.946
1.948
1.968
1.973
1.974
1.995
2.024
2.032
2.035
2.106
2.116
2.166
2.17
2.201
2.214
2.284
2.297
2.314
2.378
2.406
2.413
2.872
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…