Hahahaha, mkuu Mwafrika, actually wakati naquote hiyo post wala sikujua kama ilikuwa ya mkulu GT, I mean nisingetemea mtu mwenye kuonyesha kuwa na info nyingi ivo ashindwe kuijua website ya PM wetu...huko kwenye udini sipo, mi suala la kuweka rekodi sawa tu!
GT,
Welcome to my world!
Umesahau ile crusade nilioanzisha miezi kadhaa iliyopita kuhusu Alternative Energy?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-upepo-kenya-waendelea-kutuzidi-maarifa.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/25712-tamasha-la-umeme-wa-upepo-duniani.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/20471-umeme-na-nishati-tatizo-sugu-tanzania.html
tatizo langu ni kuwa REX wamekuwa so expensive....halafu ukilinganisha n a wind turbine nadhani kumaintain hizi solar ni gharama kubwa wakati turbine moja kwa ajili ya nyumba ni less expensive kumaintain japo ni gharama kiasi wakati wa kununua...lakini ni one off na hakuna longolongo la baadae...something kama hicho hapo juu
GT,
Welcome to my world!
Umesahau ile crusade nilioanzisha miezi kadhaa iliyopita kuhusu Alternative Energy?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-upepo-kenya-waendelea-kutuzidi-maarifa.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/25712-tamasha-la-umeme-wa-upepo-duniani.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/20471-umeme-na-nishati-tatizo-sugu-tanzania.html
Kwanza kabla sijaendelea na mjadal huu nginependa kuchukua fursa hii kuiomba radhi ofisi ya waziri mkuu na waziri mkuu mwenyewe kwa kutoa taarifa isyo sahihi kuwa hawana website kama ambavyo ikulu isivyo na website
Kusema ukweli ilikuwa ni oversight upande wangu na vile vile nadhani ningefanya google searh ningeipata...lakini pia ikumbukwe ni wajibu wao kutufahamisha sisi walipa kodi namna ya kuwasiliana nao
kwa hili nawapa hongera lakini kuna karsorio nyingi nimezigundua mle ambazo zinahitaji maelezo...(nadhani nishajua kwa nini Ikulu haitakui kuwa na website maana tutakuja gundua mambo ambayo wakina Salva hawataki tuyajue)