:tape:
Ukataka kunywa bia ruksa, ukataka kula kitimoto ruksa...sio kwa kuwa wewe hunywi bia basi uwawekee wenzako vikwazo...RUKSA
Mkuu hii kitu ndiyo inayochangia zaidi pato la taifa sasa ukiwawekea hiyo kodi ni kama unaweka market distortion factor na pato la taifa litashuka significantly......
Nenda soma budget za mawaziri wako wa fedha wanapozisoma, hakuna sehemu wanavizia mapato ya kodi na kupandisha kila mara kama kwenye kilagi.....Ni leaders kwenye kulipa kodi na ikiwezekana ukiwaona wapigie makofi kwa kuchangia pato la taifa na kuwezesha kujengwa zahanati ya kutibia babu na bibi yako na ndugu zako wengine kijijini