The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kwa wanaojua mchakato wa kununua gari nchini Tanzania hadi kukamilisha taratibu zoote za usajili, huwa gharama zinakuwa almost sawa na nusu ya bei ya gari ukilinganisha na nchi ilikotoka.
Na kama hujatembea nchi za wenzetu unaweza usielewe namna sisi tunavyokamuliwa makodi makubwa.
Mfano ni Congo ukiishaingiza gari yako inaenda direct kwenye matumizi Zambia kadhalika lakini hapa kwetu ukinunua gari ya dolar 15000 ujue utatakiwa kuwa na dollar kama hizo kujifanya lihalalishwe kutumika Tanzania
Ukizingatia idadi ya gari za kifahari zinazonunuliwa kwa fujo na watu binafsi pamoja makampuni na taasisi mbalimbali zinazofanya kazi hapa nchini pia foleni ya gari binafsi sioni return inayoridhisha kama matokeo ya kodi kubwa sana tunayopigwa kwenye magari.