Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Hali mbaya na bado hata kodi zingine zinaweza kupanda tu kwa maagizo kutoka juu!!
Achana na bia blaza kunywa maziwa...Wadau nashangaa leo bei ya bia ya 1,500 inauzwa shs 2,000 nikahoji sababu wakadai bei ya jumla wamepandishiwa toka kreti waliokuwa wakinunua shs 24,500 hadi 30,000 kwa kreti ya bia.
Najiuliza ina maana Serikali ilificha ongezeko la kodi ili iweje?