Kodi ya ardhi heka 1 ni tshs. 5000/=

charityboy

Senior Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
138
Reaction score
4
Wakuu jana tulikwenda ardhi kulipia shamba letu tukaambiwa tulipie 5000/= kwa kila heka, eti ni sheria mpya ya huyu mama tibaijuka. Hivi ni kweli tunataka kuibiwa? Naomba anayejua atujuze kama kuna mabadiliko haya.
 
Dai risiti tu, akileta longolongo jua magumashi. Ila angalia hata risiti inaweza kuwa kanyanga, si unajua kibongobongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…