Kodi ya gesi,utalii yaondolewa Kenya

DON SINYORI

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
511
Reaction score
417
Serikali ya Kenya imeondoa kodi kwenye gesi ya kupikia majumbani ili kuongeza matumizi ya gesi ili kumpa mwananchi unafuu wa gharama za maisha kwa wakenya na kulinda mazingira.

Zaidi ya hayo bwana Uhuru Kenyatta ameondoa kodi ya VAT kwa watalii wanapoingia hifadhini, kodi ya malighafi za uzalishaji wa vyakula vya wanyama.

Pia ameondoa kodi ya magari yanayofanyiwa assembling ndani ya Kenya n.k
nampongeza rais wa Kenya kwa kugusa nyanja mbali mbali ilikuinua maisha ya watu wa hali ya chini na kuongeza ufanisi na uzalishaji kwa staili hiyo viwanda vitakua kwa kasi sana kwani uzalishaji utaongezeka.

Huku kwetu viwanda imekuwa propaganda. viongozi wetu wakiambiwa waige mfano wanadai wao si koloni la Kenya.


State removes tax on cooking gas to ease cost of living

Written by MyGov
The Government has removed tax on liquefied petroleum gas (LPG) – commonly known as cooking gas. The move is meant to increase the number of Kenyans using clean energy and reduce the cost of living.

This is after President Uhuru Kenyatta assented to the Finance Bill 2016, which among others regulate taxation measures in respect of gaming, betting and competition.

Other major amendments in the Finance Act, 2016 include the removal of excise duty on locally assembled motor vehicles and motor cycles to promote assembly; tax amnesty for taxpayers who have investments outside Kenya to reinvest back home; VAT exemption for park entry fees and tour operator services to promote tourism; VAT Exemption for inputs for manufacture of animal feeds, aimed at reducing the cost of the feeds and reduction of income tax corporate tax rate from 30 per cent to 15 per cent for investors who put up more than 400 residential housing units to promote housing development.

Further amendments include the legal framework for the establishment of the Commodity Exchange Market; the expansion of the income tax brackets by 10 per cent. It is estimated that 87 per cent of Kenyans use solid fuels for cooking while five per cent use kerosene.

In Kenya, LPG is commonly used in urban areas, with Nairobi accounting for 60 per cent of the market and Mombasa 15 per cent while the rest is scattered around other growing urban centres with only one per cent usage in rural areas.

This is largely driven by low availability of firewood in urban centres, and ease of LPG distribution due to the greater population density. Analysts argue that improvement across the LPG value chain need to be made to bring down the cost, create awareness among consumers and increase distribution efficiency to reach majority of Kenyans.

Currently, LPG in Kenya is supplied in Gas Cylinder in 6kg, 13kg, 35kg, 50kg capacities under the major oil companies. For instance Kenol Kobil supplies LPG under K-gas brand name and retails at 6kg – Ksh800-1,200, 13kg – Ksh1500-2,800, and 35kg -Ksh 7,150. Others suppliers include: Shell – Afrigas, Oilibya – Mpishi, Total – TotalGaz, National Oil – Supa Gas, Pan African Petroleum – Pangas, BOC – Handigas, Oryx Energies (formerly Addax), Fossil – Petgas, Midland Energy – Midgas, Quality Gas – Q-gas, Hashi Energy – HashiGas, Text Trading – TexGas and Green Energy – Green Gas.

The Energy Act 2006, section 80 requires that persons engaged in LPG in Kenya do so under and in accordance with terms and conditions of a valid licence issued by the Energy Regulatory Commission (ERC). It requires a person who wishes to conduct wholesale LPG business or filling to apply for a licence from the regulator.
 
kwa staili ya hao jamaa viwanda vitakuja bila hata kutumia nguvu nyingi
 
kamata fursa twenzetu. kule wakibana huku twalegeza ili wateja wao waje huku. win win....
 
sisi ndo kwanza tunang'ang'ana kuwabana wananchi mpaka wanakosa kupumua
 
Kuwa na jirani kama kenya ni Fursa. Maana unapata changamoto katika kila Hatua unayopiga.
Inabidi benchi la mbele la Taifa hili wajae watu wenye ubunifu, wepesi kubadili mikakati, Wenye kufanya maamuzi sahihi kwa wakati. Wakati huo unakuwa na ELITES wa kiuchumi wanaomonitor mabadiliko ya kiuchumi nchi za jirani na kuwa flexible kiasi cha kutosha ili kuwa mbele yao maili kadhaa ktk kila nyanja.

Uhuru kafanya kitu kizuri, Hata sisi tunafanya vizuri ila tukiwa na shingo ngumu baadhi ya maamuzi yataturusha kichurachura huku tunadhani tunakimbia mbio
 
kweli umenena point sana mkuu
 
Biashara ya ufugaji kuku wa kisasa iliwainua wa mama wajasiriamali wa Tz wengi lakini kwa sasa wengi wao wamefilisika.. Chakula cha kuku bei mbaya sana..
 
Biashara ya ufugaji kuku wa kisasa iliwainua wa mama wajasiriamali wa Tz wengi lakini kwa sasa wengi wao wamefilisika.. Chakula cha kuku bei mbaya sana..
Uganda ndio imearubu biashara ya kuku


Mayau uganda kutoka kwa mkulima ni 3kshs

Lakini kenya mkulima anakuuzia 10kshs


Lakini ukulima una pesa
 
kamata fursa twenzetu. kule wakibana huku twalegeza ili wateja wao waje huku. win win....

Uchaguzi mwaka kesho. Kodi itarudi baada ya uchaguzi tena kwa nguvu kufidia hii hongo wanayopewa wananchi kipindi hiki. Uhuru anajua ODM wana wafuasi wengi ukanda wa Pwani (Mombasa) ambapo utalii umekumbwa na misukosuko mingi. Hivyo kwa kutoa nafuu ya kodi anajaribu kuwavuta watu toka upande wa ODM wamuunge mkono. Ingekuwa kweli anawajali angepunguza kodi tangu alipoingia lakini kasubiri hadi muda wa kampeni unakaribia ndio anatoa hongo. Ogopa -state bribe, no one wins except the big man.
 

Mkuu, labda hujasoma bandiko, hii ni bill aliyoisign Uhuru, after it's signed inakuwa sheria. sio statement anayoitoa kando ya barabara ilivyo kawaida kwa nchi zingine jirani ati uchaguzi ukiisha mambo yatarudi kama zamani, it has nothing to do with elections.
Utalii umefufuka pwani ya Kenya baada ya miaka mingi ikiwa on Limbo, so kisingizio eti Rais anataka ku impress wapwani haina tija, pitisheni katiba yenyu labda mtapata afueni.
 
bunge (ambalo lina wawakilishi ikiwemo wapinzani wa serikali, toka kila eneo la nchi, ) ndo limepitisha hizi sheria za kutoa tax..... rais kazi yake ilikua ni kubaliana nao na kutia sahihi..... kama alitia saini sheria sababu eti inafikia karibu na kura, basi winner ni mwananchi, maanake ikishakua sheria hio ni miaka mingi sana kabla igeuzwe tena, na itakua vigumu sana kuongeza ada ya kitu kama gesi bila kua na sababu nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…