Kodi ya jengo kila mwaka

Kodi ya jengo kila mwaka

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Heshima zenu wakuu,
Naomba kuuliza, gharama za kulipia jengo kila mwaka sh. ngapi.? si nyumba ya biashara,
kwa nyumba tu ya kawaida ya kuishi. Na endapo nikachelewesha kulipa, gharama ya faini ni sh ngapi?

SHUKRANI.
 
Back
Top Bottom