O Old Member (Retired) JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 3,401 Reaction score 1,610 Feb 25, 2014 #1 Heshima zenu wakuu, Naomba kuuliza, gharama za kulipia jengo kila mwaka sh. ngapi.? si nyumba ya biashara, kwa nyumba tu ya kawaida ya kuishi. Na endapo nikachelewesha kulipa, gharama ya faini ni sh ngapi? SHUKRANI.
Heshima zenu wakuu, Naomba kuuliza, gharama za kulipia jengo kila mwaka sh. ngapi.? si nyumba ya biashara, kwa nyumba tu ya kawaida ya kuishi. Na endapo nikachelewesha kulipa, gharama ya faini ni sh ngapi? SHUKRANI.
zegebovu1 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 415 Reaction score 135 Feb 25, 2014 #2 Na mm nasubiri majibu yatatusaidia wengi