Kodi ya Mbao kutoka nje

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Nimefanikiwa kupata line ya mbao nzuri ambazo zimeshakuwa treated kutoka USA lakini sijajua kodi ya mbao kutoka nje ikoje Tanzania. Mbao najua ni ghali sana kwenye ujenzi na nilitaka nikipata mtu ambaye anapeleka kontena niweke mbao za kupaua. kama kuna mtu anajua nitapata wapi information za kodi za mbao naomba msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…