Huenda kuna kingine anachovutia zaidi ya harufu ya msosi japo hajafunguka.Mmh. Chakula tu ndio kisababishe yote hayo mkuu.Inatakiwa wewe na hao majirani zako wote mkapimwe mkojo.
Sijawahi pagawishwa na mtu eti kisa anakula vitu vizuri sa sijui ni roho yangu ya kimasikini.
Kweli kabisa kama hivyo naweza nikaamini mdogo wangu. Chakula ni kitu kidogo sana ambacho sidhani kama kinaweza kuwatoa imani wanawake wote hao.Huenda kuna kingine anachovutia zaidi ya harufu ya msosi japo hajafunguka.
Atakuwa anakaa kwenye nyumba za uswazi wanashare korido kila MTU na chumba chake,maana sioni vile eti unakaanga vitu vyako ndani ya geti majirani sita wadate huo ukaribu mmekaribiana kama mko ndani ya mwendakasi?Kweli kabisa kama hivyo naweza nikaamini mdogo wangu. Chakula ni kitu kidogo sana ambacho sidhani kama kinaweza kuwatoa imani wanawake wote hao.
Itakuwa hivyo mkuu na inavyoelekea yeye ndio mambo safi wa mtaa. Hahaahaaaa.Atakuwa anakaa kwenye nyumba za uswazi wanashare korido kila MTU na chumba chake,maana sioni vile eti unakaanga vitu vyako ndani ya geti majirani sita wadate huo ukaribu mmekaribiana kama mko ndani ya mwendakasi?
Una roho ya chumaMmh. Chakula tu ndio kisababishe yote hayo mkuu.Inatakiwa wewe na hao majirani zako wote mkapimwe mkojo.
Sijawahi pagawishwa na mtu eti kisa anakula vitu vizuri sa sijui ni roho yangu ya kimasikini.