Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kama serikali imeona umuhimu wa kuwalipisha kodi watanzania wanaoishi nje lakini hutuma pesa nyumbani kwa kwa ndogu zao, basi wakati umefika kwa serikali hiyo kutambua kuwa watanzania hao si adui hata kama wamshachukua uraia wa huko wanakosihi. serikali hii itumie busara hiyo kuwatambuakuwa ni sehemu ya watanzania. Leo nimemtumia mama yangu allowance yake ya biweekely na kugundua kuwa amepokea hela kiasi kidogo kuliko alivyozowea kiasi kuwa safari ijayo itabidi nipandishe allowance yake ili aendelee kuishi maisha aliyozowea.