Kodi ya mzigo Bandari ya DSM na Usafirishaji wake.

Ufwandunkanye

Senior Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
123
Reaction score
193
Habari zenu wajuvi na wajuzi.

Samahani, naomba kujua ni kwa namna gani kodi ya mzigo bandarini inapatikana. Mfano, ni bidhaa kumi ambazo kila moja nimenunua China kwa dola 40, na nataka nizikomboe pale bandarini. Je, nitachajiwa kiasi gani cha kodi? Zaidi ya kodi, kuna utaratibu gani hufanyika hadi kuupata mzigo wako kutoka hapo bandarini hadi kuwa mkononi mwako?

Jambo lingine tafadhari. Naomba kujua kuna namna zipi za kusafirisha mzigo wa kibiashara kuutoa China hadi kufika bandarini DSM? Nacho omba kujua, ni njia/mtindo/namna zipi hutumika?

Samahani kwa wale wenye kejeli, utani na matusi, naomba mpite tu.

Nitashukuru kwa majibu yenu yakunifungua ufahamu.
 
Mkuu kinategemea aina ya mzigo sio kila mzogo unalipa kiasi kile kile ila nivizuri upate clearing agent wapo wangi malipo yao sio makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…