JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Nimetafakali sana sina jibu.
Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu.
Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k.
Tutafika kweli?
Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo.
Ukweli ni kwamba tangu June ianze hadi Sasa hivi Hari si nzuri. Pesa imeluwa ngumu. Kuna kwangu mmoja anafanya biashara Sana Sana anaishia kiwakopesha tu wateja wake afu halipwi. Upepo wa pesa si mzuri. Leo alipoona Makato anajua kabisa hata wale wateja wa online watapungua Sasa.
Serikali hurumieni watu wenu.