Cc RRONDONimetafakali Sana Sina jibu.
Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu...
Baada ya biashara za Kariakoo kufa kwa vigezo hawalipi kodi, nani alipe sasa? Hakuna nchi inayoendeshwa bila kodi. Tulipe kodi tuache kulalamikaNimetafakali Sana Sina jibu.
Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu...
"Punda afe lakini mzigo wa bwana Lazima ufike tu".Nimetafakali Sana Sina jibu.
Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu...
Tunajenga uchumi kwanza katiba baadae 🤣🤣🤣Nimetafakali Sana Sina jibu.
Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu.
Nakuunga mkonoTulipe kodi bila shuruti na bila kujari tuko wapi na tunafanya nini. Tumezidi kuwa keyboard warriors. Kodi ya simu ni moja ya kodi muhimu kwa ujenzi wa Taifa letu. Isibezwe
Acha kulalamika lipa kodi Nchi nzima si inaongozwa na ccm? wapinzani walituchelewesha sanaSouth Africa rais kafungw tu watu wako barAbarani ila cc Jambo la msingi ila watu wanachekacheka tu na linapita kimy kimya
Maendeleo haya vyama😅😅😅CCM oyeeee, tunawajali wananchi
Kama pesa kwako imekuwa ngumu basi wewe ulikuwa mpiga diliNimetafakali Sana Sina jibu.
Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu...
Kwanini wabunge hawalipi kodiBaada ya biashara za Kariakoo kufa kwa vigezo hawalipi kodi, nani alipe sasa? Hakuna nchi inayoendeshwa bila kodi. Tulipe kodi tuache kulalamika
Hili ni swali zuri. Tumewapa freedom ya kuwa hivyo na kula posho na mishahara ya walipa kodi
kumbe Mwigulu unatumia I'd hii Kwa sahizi?Tulipe kodi bila shuruti na bila kujari tuko wapi na tunafanya nini. Tumezidi kuwa keyboard warriors. Kodi ya simu ni moja ya kodi muhimu kwa ujenzi wa Taifa letu. Isibezwe