Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 146
Kama hujajipanga kimuhemuhe chake ni kikubwa yani sawa na rejesho... Lakini ukishamaliza hupata ahueni ya ajabu Kama umetua mzigo mzito saanaKwa wale WANAOJITEGEMEA na wamepanga Nyumba au chumba, hivi huwa unajisikiaje pale tarehe za kulipa kodi zinapokaribia na huna kitu mfukoni na ukifikiria mwenye nyumba ni BANDIDU, au hata kama mwenye nyumba ni muelewa huwa kuna KUJISHTUKIA flan hivi kama hujalipa kodi. Na huwa unajisikiaje ukishalipa kodi?
Ha ha ha kweli mkuu, kodi ya Nyumba sio mchezoKama hujajipanga kimuhemuhe chake ni kikubwa yani sawa na rejesho... Lakini ukishamaliza hupata ahueni ya ajabu Kama umetua mzigo mzito saana
Mbaya zaidi kama mwenye nyumba na Familia yake kubwa ndio wanategemea hiyo kodi ili waishiHa ha ha kweli mkuu, kodi ya Nyumba sio mchezo
Dawa ni kujenga yako uepuke kudaiwa baada ya kila miezi kadhaa
Hongera mkuuNilijiapiza kufunga kunywa bia kwa miaka miwili hadi ninunue kiwanja, namshukuru mungu malengo yakatimia,
Nakaa kwangu, cgongewewi kodi ya nyumba ata kama nakula dagaa sana tu
Ha ha ha hapo ndo utadaiwa kodi kabla ya muda haujafikaMbaya zaidi kama mwenye nyumba na Familia yake kubwa ndio wanategemea hiyo kodi ili waishi
Mbaya zaidi kama mwenye nyumba na Familia yake kubwa ndio wanategemea hiyo kodi ili waishi