Hakuna wabunge wawakilishi wa wananchiHujamskia mbunge wa Mbogwe Geita akidai mapato yao kwa ujumla hayatoshi?
Na wabunge wanampigia makofi, ubinafsi ni ugonjwa kama magonjwa mengine.Hujamskia mbunge wa Mbogwe Geita akidai mapato yao kwa ujumla hayatoshi?
Tuna wabunge 413 kwa taarifa za leo June 22/2021.
Ili kuondoa utata wa kodi ya uzalendo kwenye simu na luku napendekeza kodi ya uzalendo kwa wabunge Tsh 1,000,000 kila mwezi wakatwe.
Wananchi vyuma bado vimekaza
Hujamskia mbunge wa Mbogwe Geita akidai mapato yao kwa ujumla hayatoshi?
Huyu jamaa mbinafsi sana.Hujamskia mbunge wa Mbogwe Geita akidai mapato yao kwa ujumla hayatoshi?
Hao wabunge ni wa kuwatupa tu uchaguzi ujao bila huruma, yaani mtu anakunja TS 200,000/= kwa kikao kimoja na sasa bunge la bajeti wanakaribia mwezi wa nne wako tu huko wanapiga domo kutaka kujiongezea posho. Mshahara TS 11,000,000/= kwa mwezi na mwisho wa mhula wa miaka mitano anapewa mkono wa kwaheri TZ 200,000,000/=Sasa si kama anataka kulipwa kwa dola, si ahamie kwenye nchi wanazolipa kwa dola?
Hao wabunge ni wa kuwatupa tu uchaguzi ujao bila huruma, yaani mtu anakunja TS 200,000/= kwa kikao kimoja na sasa bunge la bajeti wanakaribia mwezi wa nne wako tu huko wanapiga domo kutaka kujiongezea posho. Mshahara TS 11,000,000/= kwa mwezi na mwisho wa mhula wa miaka mitano anapewa mkono wa kwaheri TZ 200,000,000/=
Ubinadamu ni kazi kubwa sana, hakuna hata mmoja hapo ambaye yuko tayari afe yeye ilimradi wananchi anaowawakilisha watatuliwe shida zao.
Kama chama chake hawatatoa tamko kumkosoa huyu mbunge aliyeomba ubunge ili ajipatie pesa za kutosha kuwagawia wananchi wake kama anavyojinasibu wanamsubiri inaonesha hata kupita kura za maoni alihonga maana hajiamini kama hana pesa kama anaweza kushawishi na kuishi ya kutokuwa na ukwasi kuwazidi ili awapiganie kwa moyo wote.Hujamskia mbunge wa Mbogwe Geita akidai mapato yao kwa ujumla hayatoshi?