Kwa mwezi mauzo yako ni kiasi gani? Umeanza kusupply toka lini?Wakuu,
Kwa wale wataalamu wa masuala ya kodi naomba kuelimishwa je ni mfanyabiashara wa aina gani anapaswa kulipa VAT tra?
Mfano: mfanya biashara anaesupply chakula shuleni kwa mtaji wa milioni 2 na risit anatoa za efd na Hana kampuni amesajili business name tu halmashauri, je baada ya kulipwa anastahili kulipa VAT tra?
Ili uweze kukusanya VAT sharti la kwanza ni kusajiliwa. Kuna vigezo vimewekwa ambavyo ukivikidhi utasajiliwa kukusanya na kuwakilisha ritani zako TRA. Kikubwa ni kwamba kama biashara yako haina turnover inayozidi 100M kwa mwaka na hiyo biashara haipo kwenye list ya biashara ambazo ni lazima zisajiliwe VAT basi huna vigezo vya kukusanya (kutoza) wala kuwakilisha ritani za VAT kwa mamlaka. Mfano wa biashara ambayo ni lazima isajiliwe VAT ni biashara inayohusu mambo ya utaliiWakuu,
Kwa wale wataalamu wa masuala ya kodi naomba kuelimishwa je ni mfanyabiashara wa aina gani anapaswa kulipa VAT tra?
Mfano: mfanya biashara anaesupply chakula shuleni kwa mtaji wa milioni 2 na risit anatoa za efd na Hana kampuni amesajili business name tu halmashauri, je baada ya kulipwa anastahili kulipa VAT tra?
Wakuu,