Kodi za kuingiza magari nchini

Kodi za kuingiza magari nchini

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
2,215
Reaction score
604
Wadau naombeni msaada kwa wale wenye ujuzi na mambo ya kodi za kuingiza magari nchini hasa magari yaliyozidi miaka 10 toka yatengenezwe kwa maana ya kuanzia 2002 kurudi nyuma!hasa nilikua napenda kujua mjumuisho wa jumla wa kodi kwa magari kama ya Mitsubishi Airtrek,Mitsubishi pajero(GDI),Toyota Opa na Subaru Forester.Magari yote hayo ni kwa kuanzia mwaka 2002 na kurudi nyuma!natanguliza shukrani zangu wadau
 
Back
Top Bottom