Kodi za TRA

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
2,025
Reaction score
1,270
Habari wana JF.

Naomba mnifungue macho kuhusu kulipa kodi kwa mkupuo na kulipa item kwa item. Mimi mdau katika hii biashara ya Suzuki carry ambapo ninalipa Income Tax kwa kila gari inayofikia Tshs. 318,000 kwa mwaka. Kuna mtu nimemsikia akisema kwamba kama kodi (Income Tax) itakadiriwa kwa magari yote kwa pamoja naweza kulipa kodi pungufu.Naomba kama kuna mtu ambaye anafahamu taratibu za kufuata ili kuweza kukadiriwa kodi kwa ujumla anielimishe.


Ahsante
 
Una magari mangapi? Kwa nini usitengeneze kampuni halafu ukalipa kodi ya kampuni? Njia rahisi ni kutengeneza hesabu halali halafu uone halafu ukokotoe kiasi cha kodi unacho style kulipa. Wakati mwingine hii ya makadirio unajikuta unalipa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…