Kodtec Speaker systems

A 20w at 0.05% THD will sound better zaidi ya hizo twita za hio sub
 
Unasikilizaje mziki usio na stereo

Em tuma picha ya huo mziki
 
Hio surround unapataje Kama mids natwita zinapigwa na channel moja
 
Kawaida hata zikizidiana watts Mara mbili huwezi ona tofauti kwa masikio

A 100w amp haiwezi kuwa twice as loud as 50w amp

Ku double power unaongeza sauti kwa 3DB which is unnoticeable
 
Nenda kakague mwenyewe .me huwa natuma muhudumu anipigie picha label ya specs ilioko kwa speakers
hii bass inayosikikaga hpa kidimbwi pub -moshi mjini stand kubwa

huwa inaninyima usingizi aiseeee

halafu wahudumu hawatak mtaja hta meneja niuulizie hyo bass ni aina gani[emoji3064][emoji3064]
 
Duh! sasa hiyo ,w1600 sindo uwezo wenyewe, kuna njia nne za speakers na whoofer moja, bado huoni kitu mkuu.
Una safari ndefu sana

Me hivo vitu bila kufungua ndani specs zake tu naweza kuka judge

Hicho kidude kina version mbili iko yenye 2ch na 4ch yenye extra sub port ..hapa inatoa signal tu kuelekea kwenye amp ya bass
 
Uko Moshi sehemu gani nikuletee amplifier ya kusukumia hizo spika
 
Una safari ndefu sana

Me hivo vitu bila kufungua ndani specs zake tu naweza kuka judge

Hicho kidude kina version mbili iko yenye 2ch na 4ch yenye extra sub port ..hapa inatoa signal tu kuelekea kwenye amp ya bass
😃😃 Sina ujuzi mkuu, nilifikiri kilicho andikwa Kama Ni sahihi, inaonesha ili upate amplifier nzuri kuna hesabu zake, tofauti na zamchina
 
😃😃 Sina ujuzi mkuu, nilifikiri kilicho andikwa Kama Ni sahihi, inaonesha ili upate amplifier nzuri kuna hesabu zake, tofauti na zamchina
Kabisa mkuu ndo maana wengi wanaziaribu saana amplifier bila kuwa na ujuzi wa kuzipangilia kuanzia power Hadi wiring connections
Mfano Mimi nilishanusulika mala tatu kuchoma power wires Kwa sababu ya kutojua awg wire gauge kwa ajili ya amplifier .
 
Wakuu natafuta hii kitu bado ipo sokoni???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…