Kodtec Speaker systems

Mwanangu umenipa moto mpaka nawaza nikavamie benki nisepe na minoti nikaunyake huo mzigo
Hahahah mie sikufichi, we pita kwenye stores zao Pale Mlimani City hakikisha una playlist yako freshi then Omba kutestiwa hiko kinu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwanza. Bank hazipo mbali pale utaenda tu mwenyewe kaka kuchomoa noti!
 
Ngoja ngoja ngoja ujue hyo design yake imekaa makini sanaaaaa simple ila kibabe, laki 4 ngoja nikalie hta pale nje ya white house magogon wanipe amamaeeee[emoji20][emoji20]
Hahahah mie sikufichi, we pita kwenye stores zao Pale Mlimani City hakikisha una playlist yako freshi then Omba kutestiwa hiko kinu [emoji23][emoji23][emoji23] kwanza. Bank hazipo mbali pale utaenda tu mwenyewe kaka kuchomoa noti!
 
Duuuuuh aiseee ya 10/10 daaaah sio poa

Nilishapnga nijilipue na floor standing speakers ya yamaha kwa yule jamaa yako wa boko sasa nasema najivua nguo[emoji16]
Hahahah kama una hela ya kutosha unaweza chukua ile option. Ila kama hela ya kuunga unga hii ni Quick Solution. Uzuri ni kuwa hili li subs unaweza kuliunga na Amp kupitia Pre-amp likaendelea kukupa burudani maana ni li Active subwoofer. Pamoja na zile floor standing kwa hapo baadae.
 
Gharama yake ikoje.. isijekulinganishwa na home theatre
 
Gharama yake ikoje.. isijekulinganishwa na home theatre
Hamna mkuu ina range kwenye 300-400K! Kulingana na wapi utainunua.

The best time ya kununua hii Speaker ni sasa sababu ndio ingizo jipya na kwa jinsi ilivyo nzuri itakuwa hit sokoni kisha wataanza kuleta fakes. Kama mtu una hela na ni mpenzi wa mziki bomba ichukue hii kitu bei yake na quality its fair.
 
Mkuu naona umeamua kuwa wakala wa kodtec music maana naona unafanya promo kwa nguvu sana.

Kusema ukweli hapo hamna mziki zaidi ya kelele tu, yaani ni sawa na Sea Piano baada ya mwaka au miezi itaanza kukoroma.
Ila babu kuna sea piano toleo flan iv pind zinatoka nazan walikua wanatoa very quality products.. me naitumia mpaka leo toka 2016 ki ukwel ina sound balaaa una equalize pia hata kwa wale wanaotumia Samsung ukijua kuset ni balaaa.. mzk wa 170.. mwaka wa 6 ninao na haujakoroma na sound me ndo mahali pake
 
Mtu mmoja sijui alikuwa "ananilisha hewa" Aliniambia kodtec ni Mtanzania tena Mkinga yuko Huko China Guanzhou anaitwa Konzo ndio mjina yao halisi sijawahi kuamini
Anyway kwa sasa unahitaji Kifaa wezeshi chenye ubora Mifumo ya Sauti ipo kwenye Simu zipo apps zenye kila kitu unachokitaka kwenye Sautimifumo ambayo itakupa ladha unayoihitaji kusikiliza muziki
 
Boss kama nakuelewa iv unachomwambia jamaa....
Yah, mi niko neutral ila najaribu kuelezea experience yangu tu sababu napenda mziki hamna mfano na pia nina sikio la kujua mziki wa kiwango na mziki wa kijinga.

Nimeshasikiliza system kibao ila zile pure hi-fi system ni ngumu kuzipata sikuhizi miziki mingi ime concetrate kwenye bass tu. Bass lenyewe unakuta ni flat and boomy ni ngumu kupata mashine zenye ile dynamic sound processing (DSP) effects inayofanya usikie sound in different spectrums ambayo ndio wengi tunaopenda mziki tunaikosa sikuhizi.

That Speaker proves to cover that gap kwa setup na hata ukiisikiliza tu unaipata ile ladha ya DSP straight away!
 
Wangu nilinunua 2014 hadi leo upo! Sea piano nalia ngoma chumbani kwangu. Jamaa ameamua Diss asichokijua.

Mi hamna mziki ambao sijasikiliza kuanzia hi-fi systems, mini hi-fi, Hometheatre Systems, Sound Bars, Multimedia Speakers (Subwoofers).

Na ndio maana nikasema nina sikio zuri la kusikia mziki wa kweli. Miziki utopolo pia naijua nikisikia tu. Mpaka kitu nimekisifia jua ni cha ukweli.
 
Bei ya Mlimani wanaanza 450K ila kwa 400K unabeba mali. Ila kwa Kariakoo bei inaweza kuwa chini kidogo ya hizo.
Kuna hii kitu nailia timing,bei yake haijaachana sana na hiyo kodtech,kama unanishawishi vile niende kwenye kodtech sema muonekano wake tu 🀣
 

Attachments

  • Screenshot_20210215-232021_Chrome.jpg
    45.7 KB · Views: 64
Aisee!

Leo katika harakati za kuitafuta K'koo hiyo kwenye picha nikakutana KODTec moja ina sura mbaya japo kwa mziki walikuwa ipigia promo.

Kwa haraka haraka hawa jamaa kwenye muonekano wa vifaa vyao naona kama bado.

Nilitamani hata kuipiga picha niwaletee humu kwa kweli ilikuwa na sura ngumu sana ule mzigo wa KODTec.
Acha tutaleta mrejesho zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…