kisanga hio, lazma mombane na majiraniMwamba sio AVR zote, mfano systems hiyo, hapo inasukuma sub nne, kila floor standing ina sub kubwa tu 8" mpaka 10" achilia hizo mids mbili mbili zinazoonekana na ni sub za maana tu. Ndio zinazosukumwa na AVR.
Hizo dedicated sub mara nyingi kwenye AVR huwa ni active subView attachment 3605919
Mziki wa AVR, ni balaa Sub 4, 2 ni active halafu nyumba ya kupanga, mids za kibabe
mkuu sijakataa ila nimechangia kulingana na nilivyozoea kuona.🤣🤣🤣🤣 we jamaa unazjua receiver kweli ww mkuu
....receiver karibu zote zina signal ouput ya subwoofer tu maana yake ni lazma subwoofer iwe active, receiver znaruhusu spka za mid tu kutokuwa active si subwoofer nenda kajifunze...
Ukikuta imeandikwa 5:1, 7:1 hizi ni single subwoofer output, 5:2 ,7:2 hizo ni double sub outputFloor standing huwa zina sub woofer kubwa tu, ukikuta speaker system za 5.0 channel, kama hii View attachment 3605922
Hapo imebeba sub mbili na zote zinasukumwa na AVR, ukikuta system ya AVR ina channel 5.1. Kuendelea hapo ndio unakuta kuna active subwoofer
Huu unanunua IST na chenji inabakiMwamba sio AVR zote, mfano systems hiyo, hapo inasukuma sub nne, kila floor standing ina sub kubwa tu 8" mpaka 10" achilia hizo mids mbili mbili zinazoonekana na ni sub za maana tu. Ndio zinazosukumwa na AVR.
Hizo dedicated sub mara nyingi kwenye AVR huwa ni active subView attachment 3605919
Mziki wa AVR, ni balaa Sub 4, 2 ni active halafu nyumba ya kupanga, mids za kibabe