Kodtec Speaker systems

Hata yenyewe ni 2.1. Speaker configuration haihusiani na ubora wa sauti. Brand yoyote inaweza kuwa na configurarion ya 2.1 la muhimu ni kusupporr surround sound. Hizo unazokandia tatizo ni kuwa hazina support ya SS. Ni stereo system zenye subwoofer.
 
Kuna kitu nataka nikijue
Mfano Subwoofer la seapiano

Zile speaker mbili ndogo wameandika 24watts each

Yaani left 24w
Na right 24w

Na ile woofer yenyewe wameandika 30w

Je ili kujua output power ya hii machine at the Max unajuaje?
@Extrovent
@Chief_Mkwawa


Maana wanavosema mziki una 1000w huwa sielewi kbsa na unakuta details zinakua tofauti kbsa.
 
Kodtec hawajaanza leo soko Tanzania.Walisha kuwa hadi na simu zenye nembo hiyo hiyo kodtec way back 2013 ,but sababu kampuni imesajiliwa China sio rahis sana mchina kupiga copy ya mchina mwenzake(mwamba mmbongo kaoa mchina) au kwa kampuni iliyosajiliwa China.Ingawa wanaweza ila ni nadra sana.
 
Kwamba huyo japhet konzo wa kodtec ni mtoto wa mzee konzo mkinga wa pale njombe mwenye duka la electronic
 
Wengi wakimbilia soundbars siku hizi
Sound bars nyingi za kindezi yani alieiwezea ni JBL tu tena ile ya 5.1 Deep Bass...

Sony kafeli na wengine wengine bass response jau! 20Hz ndio frequency ambayo unaipata ile deep clean bass ambayo ni thrilling!

Zaidi ya hapo bass ya kuanzia 45Hz inakuwa muffled flani ama boomy inachanganyika na mid frequencies. Ndio ma subwoofer mengi yana LPF za kuanzia humo na zaidi.
 
Hili ni kweli.
So kwa mtu anayetafuta sound nzuri ya bei ya kizalendo kwa ghetto lake unamshaurije?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…