Koffi Olomide anachofanya ni kufuru kwa Mungu


How is somebody calling himself Pope Benedict XVI or the 13th apostle of Jesus a blasphemy?
 
Taarifa zilizopo koffi hajahukumiwa bado,bali yupo lockup,atakaa kwa siku tano,na kurudishwa mahakamani,ambako majaji watasikiliza kesi yake,na hata akikutwa na hatia ,kwa Congo hukumu ya kosa kama alilofanya Koffi si zaidi ya miezi 6
Mkuu uko sahihi sana watu wanazusha tu,hiyo miezi 18 ni mwendesha mashtaka wa serikali ndo alitoa kama maoni yake na haikuwa hukumu sasa naona watu mpaka wameanza kuleta ushahidi wa nyimbo na album,huyo ni msanii lazima awe na maneno ya kisanaa sasa mtu ukiwa na uelewe mdogo unasema eti kakufuru,kwa taarifa yake mleta uzi hata ukifuatilia nyingi za koffi majigambo ni kawaida yake,kashawahi kumwambia Laurent kabila kuwa yeye koffi ni funza na huwezi kumpiga funza kwa risasi(mukulu bilanga kombo na ngai lyanzii kasi bakokii kobona ngai te)acha huyo aliambiwa mobutu(nzinzi atakupimba likolo ali ndeke te)
 
Kwani kwa sheria za congo zinasemaje katika hilo???
 
Haya mambo haya !kuna winger wa man city anaitwa.... navas sijui inakuwaje kwa mleta mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…