Quadra= 4Habari zenu wanajukwaa! Bila shaka mu wazima wa afya.
Mwaka huu umekua hauna likizo kabisa kutokana na Kamanda Koffi Olomide Mopao Mokonzi Quadra Korea Man
ndio jack pemba mwenyewe huyo yuko uganda sasa hvKuna sehem nimemsikia akitaja jina 'Jack Pemba' ktk hiyo ngoma Charisme ni huyu huyu jamaa aliesumbua miaka fulani hapa bongo na nasikia anaishi Uganda kwa sasa au sijasikia vzr tu hapo
Je, wabongo watafikia kiwango hicho?
Asante sana mkuu kwa taarifa....Hiyo Kora nimefanya typing error.Quadra= 4
Korea Man=Kora man
Kora=Tuzo za muziki za Afrika
"Quadra Koraman": Koffi hujiita jina hili ili kukumbushia kuwa yeye ndo mwanamziki pekee wa DRC kuwahi kuchukua tuzo 4 kwa mpigo za Kora kule South Africa kwa mwaka 2002/3 kupitia albamu ya 'Efrakatta' iliyotolewa mwaka 2002. Tuzo alizoshinda ni 'Best Male Artist', 'Best Male Central Africa', 'Best Video' na 'Jury Special Prize'.
Ni kweli ata mi siko mbali na mtizamo wako kwenye 13ème apôtre ukiongeza piscioles, changement de mentalite na 13ème apôtre yenyewe.Miye nimesikiliza nyimbo nyingi kwenye hiyo album, lakini naona haijakaa poa kama ile ya 13 appotrè yenye nyimbo kama selfie, cobetox, symposium au album ya Abradacababra yenye nyimbo kama je taime na toukoutou. Maoni yangu
Biso biso kinshasa makambo kende malamu te.. 😛 😛Habari zenu wanajukwaa! Bila shaka mu wazima wa afya.
Mwaka huu umekua hauna likizo kabisa kutokana na Kamanda Koffi Olomide Mopao Mokonzi Quadra Korea Man aka Le Treisième apôtre kuachia album mpya ya Nyataquance ambayo inasumbua dunia mwaka huu.
Kama kawa alianza na Nyataquance yenyewe tukanyata nayo kwa miezi kadhaa lakini punde si punde akaachia Alidor na diaspora special kwa Didi Stone (binti yake anayeishi Marekani kama sikosei).
Kabla hatujapumzika kaachia kitu cha Tshou Tshou Tshou almaarufu kama kalembelembe ambayo imesumbua kuanzia Club hadi vibanda umiza. Kilichonivutia kwenye Tshou tshou tshou ni chorus na staili ya kucheza Allez dance ya ba boss.
Nyataquance na Tshou tshou tshou zilikua na surprise ya sauti mpya ya Kirikou tofauti na wengi tulivyotarajia kusikia sauti ya Cindy le coeur.
Na kama hiyo haitoshi tarehe 1 October kaachia mzigo mpya Charisma ambayo umeshaanza kupigwa maeneo mengi mjini.
Mwaka huu ni hatari kwa upande wa burudaniiiiiiiiii.
Nawatakia wakati mwema wakuu.
Habari zenu wanajukwaa! Bila shaka mu wazima wa afya.

Malizia na diasporaHii kitu " Alidor" nilikuwa sijaipata mzee mwambie muhudumu akuongeze zinginine na dj airudie tukeshe hapa
Nawashaangaaga wanaosifia sijui waganwa pua. Kitu koffi. Mikogo kwa wingi,Daaaah haya makitu huwa yanafanya nisahau shida zote za kibongo bongo